Wadau wa elimu wapigilia msumari chakula cha mchana kwa mwanafunzi
Dar es Salaam. Wadau wa elimu wameitaka Serikali kuanza kutenga fedha itakayotolewa kwa shule zote nchini kama ruzuku ili kufanikisha azma yake ya wanafunzi wa shule za kutwa kupata chakula cha mchana. Wamesema hayo baada ya Serikali kuwataka wakuu wa mikoa na wilaya nchini kuhakikisha wanafunzi wa shule za kutwa za umma na binafsi wanapata…