Cheza na ushinde mamilioni ya Expanse

Expanse na Meridianbet ni mapacha kwa sasa unawezakuvuna Mamilioni kwa kucheza michezo ya kasino kutokaExpanse. Jisajili na Meridianbet kufurahia promoshenikibao Kupitia shindano la michezo ya kasino ya mtandaoni kutokaExpanse, unaweza kujishindia hadi Tsh 4,750,000/= ikiwemobonasi za kasino kibao. Kuna michezo mingi ya kasino naSloti ambayo inaweza kukufanya kuwa Milionea. Washindi wap[atao 40 watanufaika na bonasi…

Read More

Afariki dunia baada ya kujirusha chini ya uvungu wa gari

Kahama. Mwanaume ambaye jina lake halikufahamika, amefariki dunia baada ya kujirusha chini ya uvungu wa gari la mizigo, mali ya kampuni ya CIMC. Ajali hiyo ilitokea kwenye barabara kuu ya Kahama kuelekea Masumbwe, wilayani Kahama, mkoani Shinyanga, Aprili 7, 2025. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, SACP Janeth Magomi, alithibitisha tukio hilo na kusema kwamba…

Read More

Kliniki ya Biashara ya FCC kuwafikia Washiriki zaidi 3500

Tume ya Ushindani wa Haki (FCC) imechukua hatua madhubuti kuimarisha uelewa wa sheria za ushindani miongoni mwa wajasiriamali wadogo na wa kati kwa kuzindua kliniki maalum ya biashara katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF), maarufu kama Sabasaba. Kupitia kliniki hiyo, FCC inalenga kuwapatia wafanyabiashara hawa taarifa sahihi na…

Read More

Sh36 bilioni kuboresha mifumo ya chakula

Unguja. Zaidi ya Sh36 bilioni zilizotolewa na Benki ya Dunia (WB) zitatumika katika mradi wa uhimilivu wa mifumo ya chakula nchini. Mratibu wa mradi huo upande wa Zanzibar, Sihaba Haji Vuai, amesema mradi huo utasaidia kuwawezesha wakulima kuongeza uzalishaji wenye tija. Ametoa kauli hiyo jana Jamanne, Desemba 24, 2024 wakati wa ziara ya kamati ya…

Read More

Majadiliano ya kukabidhiana madaraka yaanza Syria – DW – 10.12.2024

Wakati jumuiya ya kimataifa ikitoa wito wa kufanyika makabidhiano ya madaraka kwa njia ya amani, Qatar imetangaza kuwa wanadiplomasia wake walifanya mazungumzo na  kundi kuu la waasi nchini Syria la Hayat Tahrir al-Sham (HTS) , wakati mataifa kadhaa ya kanda hiyo yakijaribu kuanzisha mawasiliano na kundi hilo ambalo limefanikiwa kuuangusha utawala wa Bashar al-Assad. Kwa upande wake,…

Read More

Wapagazi 30,000 waungana, waanzisha TAP kutetea haki zao

Moshi. Zaidi ya wapagazi 30,000 kutoka vyama vinne nchini wameungana na kuunda umoja wao uitwao Tanzania  Association of Porters (TAP), kwa lengo la kuimarisha mshikamano miongoni mwao na kuweka mfumo wa pamoja wa kushughulikia changamoto mbalimbali zinazowakabili katika sekta ya utalii. Vyama vilivyoungana kuunda TAP ni Tanzania Porters Organization (TPO), Mount Kilimanjaro Porters Society (MKPS),…

Read More

Ouma: Singida Black Stars bado kidogo tu

KOCHA Msaidizi wa Singida Black Stars, David Ouma amesema timu yao imetumika kwa asilimia 70 mzunguko wa kwanza hivyo bado wana mikakati imara mzunguko wa pili ili kufikia malengo ya kucheza michuano ya kimataifa msimu ujao. Singida Black Stars ipo nafasi ya nne kwenye msimamo baada ya kucheza mechi 16 ikifanikiwa kukusanya poiti 33, imeshinda…

Read More