HISPANIA MABINGWA EURO 2024, YAILAZA UINGEREZA 2-1
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV TIMU ya Taifa ya Hispania imefanikiwa kunyakua kombe la Euro 2024 mara baada ya kuichapa Uingereza mabao 2-1 katika fainali ambayo imepigwa kwenye dimba la Olympiastadion (Berlin) nchini Ujerumani. Hispania walianza kupata bao kupitia kwa Nico Williams dakika ya 47 kipindi cha pili akipokea pasi kutoka kwa nyota Yamal. Dakika…