WACHUNGAJI ZAIDI YA 450 WAHUDHURIA MKUTANO WA KANISA LA SHINCHEONJI JEONJU

Umati ulikusanyika kusikiliza mhadhara wa Mwenyekiti Lee Man-hee katika Semina ya Neno la Uinjilisti ya Shincheonji Jeonju tarehe 13. Waliohudhuria wakimkaribisha Mwenyekiti Lee Man-hee kwenye tovuti ya ‘Neno la Semina la Shincheonji Jeonju Uinjilishaji mkuu’ tarehe 13. Mwenyekiti Lee Man-hee anatoa mhadhara katika Semina ya Neno la ‘Shincheonji Jeonju Uinjilishaji mkuu’ iliyofanyika katika Kanisa la…

Read More

Jumanne ya ODDS kubwa ni leo ndani ya Meridianbet

  Mteja wa Meridianbet leo hii una nafasi ya kujishindia maokoto endapo utabashiri mechi zako kwani ligi mbalimbali zinaendelea. Machaguo zaidi ya 1000 yanapatikana hapa. Kule Hispania leo kuna michezo mitatu ya LALIGA ambayo inaendelea ambapo Sevilla baada ya kupoteza mchezo uliopita atakiwasha dhidi ya Real Valladolid ambaye yeye ametoka kutoa sare. Meridianbet wanampa nafasi…

Read More

MAYENGO ALITAKA JIMBO LA USHETU, ATANGAZA RASMI NIA

    Mhe. Simon Makoye Mayengo akitangaza rasmi nia ya kugombea Ubunge Jimbo la Ushetu Mkoa wa Shinyanga. Mhe. Simon Makoye Mayengo akitangaza rasmi nia ya kugombea Ubunge Jimbo la Ushetu Mkoa wa Shinyanga. Aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga  Mhe. Simon Makoye Mayengo akiwa katika Ofisi za…

Read More

Wawili wafariki, 18 wajeruhiwa ajali ya ndege

California. Watu wawili wamefariki dunia huku wengine 18 wakijeruhiwa baada ya ndege ndogo aina ya Van’s RV-10 kugonga ghorofa la kitega uchumi jijini California nchini Marekani. Ajali hiyo imetokea saa 8:09 mchana wa kuamkia leo Ijumaa Januari 3, 2025 baada ya ndege hiyo isiyo ya kibiashara, yenye uwezo wa kubeba watu wanne, kugonga jengo la…

Read More

Gadiel aitosa Chippa UTD | Mwanaspoti

BEKI wa kushoto wa kimataifa wa Tanzania, Gadiel Michael ameachana na Chippa United ya Afrika Kusini huku sababu za kuondoka klabuni hapo hazijulikani. Nyota huyo wa zamani wa Simba na Yanga ambaye wakati mwingine amekuwa akitumika kama kiungo ndani ya timu hiyo ya Chippa, alijiunga na timu hiyo msimu huu kwa mkataba wa mwaka mmoja…

Read More

Ndoa yaweza kuwa pepo au jehanamu

Ndoa, kama taasisi yoyote ina pande nyingi, kubwa zikiwa mbili. Inaweza kuwa na mafanikio au maanguko. Ndoa ikifanikiwa hugeuka pepo. Ikishindwa haina tofauti na jehanamu, japo hakuna aliyewahi kufika huko. Tudurusu namna ya kujua ndoa gani ni pepo au jehanamu kwa kudodosa. Ni wanandoa gani (siyo wa kwenye maigizo) ukiwaona unatamani ndoa yako ingekuwa kama…

Read More

BVR Kits 6,000 kuboresha daftari la wapiga kura

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imekamilisha maandalizi muhimu kwa ajili ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ikiwa ni pamoja na ununuzi wa vifaa vya uandikishaji vinavyojumuisha BVR Kits 6,000. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam… (endelea). Hayo yamebainishwa leo tarehe 10 Juni 2024 jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Uchaguzi…

Read More

Rais Samia ashiriki Mkutano wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AUPSC) Addis Ababa nchini Ethiopia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AUPSC) pamoja na viongozi kutoka nchi mbalimbali katika Makao Makuu wa Umoja wa Afrika (AU) Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 14 Februari, 2025. @font-face {font-family:”Cambria Math”; panose-1:2 4 5 3 5…

Read More

UNDP na CRDB kuwaonyesha njia wajasiriamali wa Tanzania katika soko la Afrika

Dar es Salaam. Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) kwa kushirikiana na CRDB Bank Foundation wamezindua mwongozo rahisi kwa wajasiriamali wachanga, wadogo na wa kati (MSMEs), ukiwalenga kuongeza ushiriki wao katika Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA). Mpango huo unalenga kuwawezesha MSMEs kwa kuwapatia nyenzo muhimu na maarifa yatakayowasaidia kupanua biashara zao…

Read More