Darasa la nne kuanza mitihani kesho kwa mtaala mpya

Dar es Salaam. Kwa mara ya kwanza, wanafunzi  milioni 1.6 wa darasa la nne wanatarajiwa kuanza upimaji wa kitaifa Oktoba 22,23 mwaka huu kwa kuzingatia Sera ya Elimu ya Mwaka 2014 toleo 2023 na mtaala ulioboreshwa. Wanafunzi hao watafanya mitihani ya masomo sita ambayo ni sayansi yenye hisabati, jiografia na mazingira na upande wa sanaa…

Read More

Bulls Eye Bells inakupa bonasi na Jackpot kubwa

Tunakuletea safari ya kasino mtandaoni ya kusisimua sana ambayo imejaa bonasi za kasini za kumwaga. Jukumu lako ni kukusanya ushindi kadri iwezekanavyo, na ukifanikiwa, hautakosa mafanikio ya ajabu. Jisajili hapa ili usipitwe na mchezo huu. Bulls Eye Bells ni mchezo wa kasino ya mtandaoni unaoletwa kwenu na mtengenezaji wa michezo wa Playtech. Katika mchezo huu,…

Read More

Fadlu: Simba hii bado kidogo tu

SIMBA imeendelea kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu na alama sita baada ya juzi kuishushia kichapo cha mabao 4-0 Fountain Gate huku mastaa wapya kikosini hapo akiwemo Charles Ahoua wakionyesha kiwango bora lakini kocha mkuu wa Wanamaimbazi hao, Msauzi Fadlu Davies amesema bado hajapata kile anachokitaka kwa asilimia mia. Akizungumza na Mwanaspoti, Fadlu amesema…

Read More

Mzalishaji pombe bandia aishukuru Mahakama kumtia hatiani

Dar es Salaam. Mfanyabiashara aliyekuwa akimiliki kiwanda bubu cha kutengeneza na kusambaza pombe kali bandia, Frank Donatus Mrema na wenzake wawili aliokuwa amewaajiri katika kiwanda hicho, wamehukumiwa adhabu ya kifungo cha maisha jela, huku mmoja akimwaga shukrani kwa Mungu na Mahakama baada ya kutiwa hatiani. Frank na wenzake hao, Faham Salim Ngoda na Issa Juma…

Read More

WAZIRI MCHENGERWA AAGIZA DART KUBORESHA UTOAJI WA KADI JANJA KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM – MWANAHARAKATI MZALENDO

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Mohamed Mchengerwa, ameiagiza Wakala wa Mabasi yaendayo kwa Haraka (DART) kuhakikisha wakazi wa Dar es Salaam wanapata kadi janja kwa urahisi na kuanza kuzitumia kwa usafiri wa mabasi ya mwendokasi. Maelekezo haya yalitolewa wakati wa uzinduzi wa matumizi ya mageti janja…

Read More

SHAYO AAPA KUIFANYA MOSHI KUWA MJINI WA KISASA

Na Pamela Mollel, Moshi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Moshi Mjini kimezindua rasmi kampeni zake za uchaguzi, huku mgombea wa ubunge wa jimbo hilo, Ibrahimu Shayo, akiweka wazi ajenda na dira yake ya kuibadilisha Moshi kuwa miongoni mwa majimbo bora zaidi nchini. Akihutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza, Shayo aliwaomba kumpa ridhaa ya kuwatumikia ili…

Read More

Lukanga mgeni rasmi uzinduzi soko binafsi kwakibosha.

NA Mwandiahi wetu KATIBU wa siasa na uenezi na Mafunzo chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Bagamoyo,Ramadhani Lukanga anatarajia kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa soko binafsi kitongoji cha kwakibosha kata ya Mapinga wialya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani. Uzinduzi wa soko binafsi ndani ya kitongoji kwa kwakibosha umekuja kufiatilia kilio cha miaka mingi cha…

Read More

Neema mpya Lindi, Mtwara Serikali ikiachia Sh669 bilioni

Mtwara. Katika kuhakikisha inatekeleza ahadi ya kuifungua kiuchumi mikoa ya Lindi na Mtwara na kuboresha miundombinu ya barabara na madaraja, Serikali imetangaza kupeleka Sh669 bilioni. Fedha hizo zinakwenda kutumika kwa ajili ya ujenzi wa barabara na madaraja lengo likiwa ni kuboresha usafiri na kuifungua mikoa hiyo kiuchumi. Hayo yameelezwa na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega…

Read More