Mechi za lawama Mapinduzi Cup 2026

BAADA ya jana Jumanne kuwa ni mapumziko, leo Jumatano michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 inaendelea kwa kuchezwa mechi mbili za kundi A. Uhondo wa mechi za leo unatokana na wapinzani wanaokwenda kukutana, huku kila mmoja akihitaji kushinda na kusaka rekodi. Lakini katika mechi hizo, matokeo mabaya kwa upande wowote, lazima mtu alaumiwe na si…

Read More

Nandy na Diamond kuwania Tuzo za AEAUSA

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Msanii maarufu wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Faustina Mfinanga, anayefahamika zaidi kwa jina la Nandy, ametajwa kuwania tuzo ya Msanii Bora wa Kike (Best Female Artist) kwenye tuzo za African Entertainment Awards USA (AEAUSA). Katika kipengele hiki, Nandy atachuana na mastaa wakubwa wa muziki barani Afrika kama Yemi Alade, Tiwa…

Read More

Mwalimu awaahidi wananchi Kigamboni kutumia kivuko bure

Dar es Salaam. Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu ameahidi kuwa wananchi wa Kigamboni hawatolipia tena kivuko iwapo watamchagua kuwa Rais Oktoba 29, 2025. Amesisitiza kwamba changamoto ya usafiri wa vivuko vinavyotumika kuingia na kutoka Kigamboni jijini Dar es Salaam, ni suala linalogusa maisha ya kila siku ya…

Read More

Sababu kiungo Simba Queens kutocheza zatajwa

KIUNGO wa Simba Queens, Saiki Atinuke imefichuyka sababu za kukosa mechi zote za msimu huu hadi sasa ni majeraha na matatizo ya kifamilia. Ligi Kuu ya Wanawake inakaribia mwisho na kiungo huyo Mnigeria aliyehamia kutoka Yanga Princes ambako alikuwa na nafasi ya kudumu kikosini katika michezo 14 ya ligi hadi sasa hajacheza mchezo wowote na…

Read More

𝙊𝙣𝙚𝙨𝙝𝙤 𝙡𝙖 𝙎!𝙏𝙀2024: 𝙈𝙖𝙛𝙖𝙣𝙞𝙠𝙞𝙤 𝙈𝙖𝙠𝙪𝙗𝙬𝙖 𝙣𝙖 𝙐𝙢𝙪𝙝𝙞𝙢𝙪 𝙬𝙖 𝙐𝙝𝙞𝙛𝙖𝙙𝙝𝙞 𝙬𝙖 𝙈𝙞𝙨𝙞𝙩𝙪

    Onesho la Swahili International Tourism Expo (S!TE) mwaka 2024 limehitimishwa rasmi leo jijini Dar es Salaam, likiteka hisia za wengi kwa mafanikio makubwa ya kuingiza takribani wanunuzi 120 wa kimataifa wa bidhaa za utalii. Katika hafla ya kufunga onesho hilo kwenye ukumbi wa Mlimani City, Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi…

Read More

Huu ndio ugonjwa uliosababisha kifo cha Mafuru

Dar es Salaam. Saratani ya damu ndio ugonjwa uliokatisha maisha ya aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Tanzania, Lawrence Mafuru (52). Mtaalamu huyo wa fedha na uchumi maarufu chini humo, alifariki dunia Novemba 9, 2024 akiwa anapatiwa matibabu Hospitali ya Apollo nchini India. Mwili wa Mafuru unaagwa leo Alhamisi, Novemba 14, 2024 katika viwanja…

Read More