
Ligi Kuu Zanzibar njiapanda, klabu, Bodi ya Ligi zatofautiana
BAADA ya Septemba 14, 2025 kuchezwa Ngao ya Jamii kati ya KMKM dhidi ya Mlandege ikiashiria kufunguliwa kwa msimu wa 2025-2026, huku Ligi Kuu Soka Zanzibar (ZPL) ikitarajiwa kuanza leo Septemba 20, 2025 kwa kuchezwa mechi moja, kuna sintofahamu imejitokeza juu ya uwepo wa mchezo huo. Kwa mujibu wa kalenda ya Shirikisho la Mpira wa…