Wataalamu Tanzania wanolewa kutibu uvimbe kwenye mishipa ya ubongo
Dar es Salaam. Madaktari bingwa kutoka barani Ulaya wameanza kuwajengea uwezo wataalamu wa afya nchini Tanzania mbinu za kutibu uvimbe kwenye mishipa na matatizo kwenye sakafu ya ubongo, lengo kupunguza rufaa za wagonjwa kwenda kutibiwa nje ya nchi. Wagonjwa wenye matatizo hayo kwa asilimia 90 hadi 95 nchini hutibiwa nje ya nchi. Tayari wataalamu kutoka…