MERIDIANBET YASHUSHA TABASAMU ALI MAUA

Mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wameendelea kuhakikisha wanasaidia na kurudisha tabasamu kwa jamii kwa ambavyo wamefanya leo maeneo ya Ali Maua Tandale. Kurudisha kwa jamii iliyowazunguka na yenye uhitaji imekua ni moja ya vipaumbele vikubwa sana kwa mabingwa hao wa michezo ya kubashiri, Kwani wamekua wakifanya hivo kwa miaka mingi sasa. Meridianbet…

Read More

KONA YA MALOTO: Karata za urais 2030 CCM, zinachezwa 2025

Mayowe na miluzi ni mingi kuzunguka uteuzi wa wagombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Taarifa za waliokatwa na waliopenya zinatawala mitandao ya kijamii. Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla, ameshatoa tamko kuwa hakuna ambaye ameshakatwa. Zipo taarifa zinasambaa pia kuhusu waliotangazwa kukatwa, kisha kurejeshwa….

Read More

Hamdi aja na mkakati wa siku 5 Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Miloud Hamdi amesema licha ya ugumu wa ratiba iliyonayo timu hiyo, lakini ametengeneza mkakati kabambe wa siku tano ili kuendelea kugawa dozi kama kawaida katika Ligi Kuu kabla ya kuhamishia makali visiwani Zanzibar katika mechi za michuano ya Kombe la Muungano 2025. Yanga inatarajia kusafiri hadi Manyara kukabiliana na Fountain Gate…

Read More

Hemed: Dk Mwinyi amemaliza kero kubwa tatu Pemba

Unguja. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, ametaja mambo matatu makubwa yaliyokuwa kero kwa wananchi wa Kisiwa cha Pemba, lakini amesema Serikali inayoongozwa na Dk Hussein Ali Mwinyi imefanikiwa kuyapatia ufumbuzi katika kipindi cha miaka mitano iliyopita. Akizungumza leo Jumatatu Septemba 15, 2025 kwenye uzinduzi wa kampeni za Chama cha Mapinduzi…

Read More

Ujenzi Daraja la Jangwani wanukia

Dodoma. Serikali imesema katika mwaka wa fedha wa 2024/25 itaanza utekelezaji wa mradi wa kimkakati wa ujenzi wa Daraja la Jangwani. Ujenzi huo ni sehemu ya utekelezaji wa mradi mkubwa wa maendelezo ya Bonde la Mto Msimbazi. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema hayo bungeni leo Jumatano Mei 29 2024  alipowasilisha makadirio ya mapato na…

Read More