WAHITIMU 1,362 WA KADA MBALI MBALI WATUNUKIWA VYETI, NI KATIKA MAHAFALI YA 19
WAHITIMU 1,362 wa ngazi mbalimbali za masomo ya afya na sayansi shirikishi wametunukiwa vyeti na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) katika Mahafali ya 19 yaliyofanyika leo Desemba 4, 2025 jijini Dar es Salaam. Mkuu wa chuo hicho, Prof. David Homeli Mwakyusa, aliwapa wahitimu hao vyeti vinavyohusisha stashahada, shahada ya kwanza, shahada…