Sintofahamu fidia mradi wa bomba la mafuta EACOP

Dar es Salaam. Wakati wananchi wa Manyara wakilalamika kulipwa fidia ndogo waliyolipwa kupisha ujenzi wa Bomba la  Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesema malipo hayo yamezingatia taratibu zote za ulipaji fidia za kitaifa na kimataifa. Akizungumza na Mwananchi leo Alhamisi, Mei 30, 2024 Mkurugenzi wa TPDC,  Musa…

Read More

Hizi hapa sababu mbili kukamatwa kwa Lissu Songea

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amefikishwa Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam, akidaiwa kutenda makosa ya uhaini na kusambaza taarifa za uongo. Lissu anadaiwa kushikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma jana Jumatano Aprili 9, 2025 muda mchache baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa hadhara uliofanyika…

Read More

Ajibu aikacha Coastal akimbilia jeshini

KIUNGO mshambuliaji wa zamani wa Simba, Yanga, Azam na Singida FG aliyekuwa akikipiga Coastal Union, Ibrahim Ajibu amesaini mkataba wa miaka miwili na maafande wa JKT Tanzania. Ajibu aliyeichezea Coastal kwa mafanikio akiwa nahodha akisaidiana na wenzake waliifanya timu hiyo imalize ya nne katika Ligi Kuu Bara hivi karibuni na kukata tiketi ya Kombe la…

Read More

Kyombo: Mbeya City yajayo yanafurahisha

MSHAMBULIAJI wa Mbeya City, Habib Kyombo amesema kuwa yajayo ndani ya timu hiyo yanafurahisha, huku akiwatoa hofu mashabiki kutokana na majeraha aliyoyapata. Kyombo ambaye ametua Mbeya City msimu huu akiwa amesaini mkataba wa mwaka mmoja wenye kipengele cha kuongeza mwingine, rekodi zake zinaonyesha aliwahi kuzichezea timu za Pamba Jiji, Simba, Fountain Gate na Singida Black…

Read More

LIGI KUU SPESHO: Mechi hizi sio za kukosa

RATIBA ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2024-2025, imetolewa rasmi na Bodi ya Ligi (TPLB) huku kila timu ikitambua mpinzani itakayeanza naye mapema na itaanza kutimua vumbi Ijumaa hii ya Agosti 16, mwaka huu na kuhitimishwa Mei 24, mwakani. Wakati ratiba inapotolewa kwa kila taifa lolote, jambo la kwanza linaloangaliwa ni michezo yenye hisia…

Read More

Twende Butiama 2024 ni zaidi ya mbio

WAKATI ikiingia msimu wa sita mwaka huu, mbio ya Twende Butiama imezidi kunoga baada ya Benki ya Stanbic kuungana na Vodacom Tanzania kuifanikisha. Msimu huu waendesha baiskeli wa Twende Butiama wataanza safari Septemba 29 wakipita mikoa 12 huku wakitarajiwa Oktoba 14 kuwa Butiama alipozaliwa baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Mbio hiyo inayolenga kumuenzi…

Read More

UVCCM wajifungia wilayani Hai kufundana kuelekea uchaguzi mkuu

Moshi/Shinyanga. Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umewaonya vijana juu ya usaliti, fitna, mgawanyiko katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu, ili kujihakikishia ushindi wa kishindo. Pia umewasisitiza kuzingatia maadili, uadilifu na kudumisha umoja na mshikamano huku ukisema CCM lazima ishinde katika uchaguzi mkuu ujao kwa lengo la kuendelee kutatua shida na changamoto…

Read More