‘Malaya’ amng’oa RPC Dodoma – Mwanahalisi Online

SAKATA la binti anayedaiwa kubakwa na kulawitiwa na vijana watano, limechukua sura mpya baada ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini – IGP, Camilius Wambura kumhamisha Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, SACP Theopista Malya kwenda makao makuu ya polisi Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Malya ambaye nafasi yake imechukuliwa na SACP George…

Read More

Wenye viashiria vya rushwa wasipewe nafasi

Mwanza. Katika kipindi cha Januari hadi Juni, 2024 Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) katika mikoa mbalimbali nchini imetoa taarifa za utekelezaji wa shughuli zake, ikiwemo malalamiko ya rushwa iliyopokea na kuyafanyia kazi. Katika taarifa hizo, miongoni mwa maeneo mengi yaliyolalamikiwa kuomba na kupokea rushwa ni serikali za mitaa ambazo zipo chini Ofisi…

Read More

Meridianbet inakwambia hivi Pesa iko huku

Ndugu mteja wa Meridianbet baada ya jana kushuhudia mechi kali zikipigwa kwenye ligi mbalimbali, leo hii pia ni bandika bandua, mechi nyingi za pesa zipo leo. Ingia na ubashiri sasa. Uingereza pale EPL leo kuna mitanange ya kukata na shoka ambapo Chelsea baada ya kupoteza mchezo uliopita leo hii atamualika kwake Newcastle United ambaye pia…

Read More

Mtendaji Mkuu TANROADS aipongeza Saccos kwa kutengeneza faida

Chama cha ushirika wa Akiba na Mikopo cha Wafanyakazi wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS Saccos), kimepongezwa kwa kutengeneza faida na kujadili namna ya kuzigawa kwa wanachama wake. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Miradi wa TANROADS, Mhandisi Japherson Nnko aliyemwakilisha Mtendaji Mkuu wa taasisi hiyo Mhandisi Mohamed Besta katika ufunguzi wa mkutano wa 11…

Read More

RC CHONGOLO AIPA HEKO TANROADS//BIL 5.7 ZATOLEWA KUTATUA CHANGAMOTO ZA MIUNDOMBINU MKOANI SONGWE

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Daniel Chongolo ameipongeza timu ya wataalamu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kwa kufanya kazi kwa haraka na ufanisi mkubwa kuhakikisha barabara zinapitika mkoani Songwe. Rc Chongolo ameeleza kuwa changamoto ya uharibifu mkubwa wa miundombinu umefanyiwa kazi kwa haraka na timu ya wataalamu wa TANROADS na TARURA jambo ambalo…

Read More

Yanga yaibuka mkutanoni, Simba yasikilizia

Wakati mechi ya Dabi ya Kariakoo ikitarajiwa kupigwa kesho, Yanga imefanya mkutano na waandishi wa habari, huku Simba iliyotakiwa kufika kwenye mkutano haikutokea. Simba itakuwa mgeni wa Yanga kwenye mchezo huo wa kiporo wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kuanzia saa 11 jioni. Kabla ya mchezo huo timu…

Read More

Kilio cha barabara na maji chamgusa Dk Tulia

Mbeya. Diwani wa Kata ya Ilemi jijini Mbeya, Angelo Magoma amempokea Spika wa Bunge, Dk Tulia Akson kwa kilio cha barabara na maji akieleza kuwa wananchi wana manung’uniko mengi na wanatishia kuandamana kutokana na changamoto hiyo. Magoma amesema hayo leo Juni 1 wakati Dk Tulia alipofika kata hiyo kusalimiana na wananchi na kukutana kero hiyo,…

Read More