CHAN 2024: Kipa Madagascar achekelea robo fainali
BAADA ya kuisaidia timu yake kutinga hatua ya robo fainali Michuano ya CHAN na akiibuka mchezaji bora, kipa wa Madagascar, Michel Ramandimbozwa ametaja siri ya timu yake kutinga hatua hiyo ni kumsoma mpinzani na kujiandaa vyema. Madagascar imetinga hatua hiyo baada ya kuifunga Burkina Faso mabao 2-1, huku Ramandimbozwa akiitwaa tuzo ya pili ya nyota…