Waziri Tax azungumzia nafasi ya JWTZ na PLA katika usalama wa dunia
Dar es Salaam. Waziri wa Ulinzi wa Tanzania Stergomena Tax amesema ushirikiano wa kijeshi kati ya China na Tanzania una nafasi kubwa katika kuhakikisha dunia inakuwa salama. Tax ameeleza hayo wakati wa hafla ya maadhimisho ya miaka 97 ya Jeshi la Ukombozi la China (PLA) yaliyofanyika katika ubalozi wa China Jijini Dar es Salaam. Tax…