Rais Samia aagiza usimamizi ulipaji kodi, atahadharisha misaada ya wahisani
Mwanza. Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wafanyabiashara kulipa kodi ili nchi ijiendeshe kwa mapato yake ya ndani bila kutegemea misaada ya wahisani, ambao amedai kuwa sasa wana masharti mengi. Akizungumza leo Jumatatu Juni 16, 2025 mara baada ya kuzindua jengo la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Simiyu, Rais Samia amesema hakuna nchi inayoendeshwa…