Kinachosubiriwa leo kesi ya Mpina kuenguliwa urais ACT- Wazalendo

‎Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma leo Jumatatu, Septemba 8, 2025 inahitimisha usikilizaji shauri la kuenguliwa kwa mgombea urais aliyeteuliwa na Chama cha ACT-Wazalendo kupeperusha bendera yake katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, utakaofanyika Oktoba 29. Awali Mahakama hiyo ilielekeza shauri hilo lisikilizwe kwa njia ya maandishi na mawakili wa pande zote waliwawasilisha…

Read More

WAZIRI MKUU KWENYE SWALA YA EID NA BARAZA LA EID

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiswali swala ya Eid iliyofanyika katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI BAKWATA, Kinondoni Dar es Salaam. Swala hiyo iliongozwa na Sheikh Ally Muhiyidiin Mkologole Juni 17, 2024 jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza akizungumza  na waumini wa dini ya kiislam wakati wa baraza…

Read More

Gamondi, Fadlu wanavyoleta mfumo mpya Bongo

Katika ulimwengu wa soka, mbinu za uchezaji zinaendelea kubadilika na kujiimarisha. Makocha wa Yanga na Simba, Miguel Gamondi na Fadlu Davids, wamefanikiwa kuingia katika anga za mbinu zinazotumiwa na makocha wakubwa duniani na kuleta staili hiyo Bongo. Wamejikita katika kutumia mianya iliyopo kati ya mabeki na kati na wa pembeni, maarufu kama “half-spaces.” Huu ni…

Read More

Hakuna Madini ya Tanzanite yatatoka mirerani bila kupitia Tanzanite exchange centre -Waziri Mavunde

Waziri wa madini Antony Mavunde amekanusha taarifa zilizokuwa zikisambaa zikidai kuwa jengo linalojengwa la billion tano halitatumika tena kufanya biashara ya madini ya Tanzanite pamoja na kuongeza thamani ya madini hayo huku akisema Rais ameongeza fedha ambazo zinaingia leo na litajengwa hadi kufikia asilimia 99 Mavunde akizungumza na wafanyabiashara wa madini,wachimbaji na wadau wengine wa…

Read More

Azam ya Ibenge tatizo namba tu

ACHANA na rekodi iliyoandikwa na Azam FC kutinga makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, lakini kikosi hicho chini ya kocha mwenye uzoefu Afrika, Florent Ibenge kinapitia wakati mgumu kutokana na namba kukikataa. Ipo hivi. Azam inapitia nyakati ngumi kupata matokeo ya ushindi kwani mara ya mwisho furaha ya ushindi ni pale ilipofuzu hatua ya makundi…

Read More

Bangi yaendelea kuwa tishio katika dawa za kulevya

Dodoma. Bangi imeendelea kuwa tishio kati ya dawa kulevya ambazo zimekuwa zikikamatwa na Mamlaka ya Udhibiti wa dawa za kulevya.Katika kipindi cha 2024, tani 2,307.37 zilikamatwa na kati ya hizo, tani 2,303.2 ni bangi. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Uratibu na Bunge, William Lukuvi ametoa takwimu hizo leo Jumatatu Juni 23, 2025…

Read More

Mfanyie Haya Mpenzi Wako Penzi Lidumu – Global Publishers

KATIKA mapenzi kuna vitu vingi unaweza kumfanyia mpenzi wako ukamfurahisha na kumfanya azidishe mapenzi kwako. Katika safu hii leo nitazungumzia mambo machache muhimu yatakayokusaidia kuboresha nakudumisha penzi lako kwa umpendaye. Mahusiano ya kimapenzi ni safari moja kubwa sana katika maisha. Safari hii imejaa mabonde na milima kila aina, kuna nyakati za furaha , hasira, huzuni.n.k…

Read More

KIKAO KAZI CHA MWAKA CHA WAKUU WA IDARA ZA UTAWALA NA USIMAMIZI WA RASILIMALIWATU KUFANYIKA DODOMA

    KAIMU Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Xavier Daudi,akizungumza na waandishi wa habari leo Disemba 12,2024 kuhusu kikao kazi cha  Mwaka cha Wakuu wa Idara za Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu kinachotarajia kufanyika  Desemba 17-19, mwaka huu,jijini Dodoma. SEHEMU ya Watumishi wakimsikiliza Kaimu KAIMU  Mkuu, Ofisi…

Read More

Safari ya Aziz Ki na Yanga – MWANAHARAKATI MZALENDO

Tangu Aziz Ki alipojiunga na klabu ya Yanga msimu wa 2022/2023, mashabiki wa soka hasa hasa wa Yanga wamekuwa na kitu cha ziada cha kufurahia kila mechi. Kijana huyu mwenye kipaji cha kipekee amekuwa kielelezo cha ustadi, umahiri, na uhodari kwenye timu ya Yanga SC. Kila mara anapokanyaga uwanja, ni kama nyota inayong’ara usiku wa…

Read More

BODI YA WANAJIOLOJIA TANZANIA (TGS) MBIONI KUANZISHWA

Na Oscar Assenga,TANGA SERIKALI imesema kwamba itahakikisha uundwaji wa Bodi ya Wanajiolojia Tanzania (TGS) ili waweze kuwa na chombo ambacho kinaweza kuwaunganisha wataalamu hao kuweza kuleta mabadiliko chanya kwenye sekta hiyo. Hayo yalisemwa leo na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini Msafiri Mbibo wakati akifungua mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wataalamu wanajiolojia ulishirikisha wataalamu…

Read More