REA yahamasisha matumizi ya nishati safi
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inaendelea kuhamasisha wananchi kutumia nishati safi za kupikia kwa lengo la kuwezesha utunzaji wa mazingira, kuboresha afya na ustawi wa jamii ikiwamo kukuza uchumi wa mwananchi mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla. Mhandisi wa Miradi kutoka REA, Kelvin Tarimo amesema hayo leo Septemba 04,…