Wajibu wa mwanaume kununua zawadi kwa mwenza wake

Dar es Salaam. Wakati wanaume wakiona ni wajibu kutoa zawadi kwa wanawake, wao wanasema hilo linatokana na utamaduni uliojengeka kwa muda, hivyo kuwa kama mazoea. Mbali ya hilo, baadhi ya wanawake wanasema isiwe mazoea ya kupokea pekee, bali pia nao watoe, huku ikishauriwa zawadi zitolewe kwa nyakati maalumu kama vile katika sherehe za kuzaliwa ili…

Read More

Pacha waliotenganishwa waruhusiwa kuondoka Muhimbili

Dar es Salaam. Pacha waliotenganishwa nchini Saudi Arabia, Hussein na Hassan Amir (3), wameruhusiwa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), wakitarajiwa kurejea Igunga, mkoani Tabora kesho, Februari 19, 2025, baada ya kupata eneo la kuishi. Watakwenda kuishi kwenye nyumba iliyotafutwa na ofisi ya mkuu wa mkoa wa Tabora, wakati wakisubiri nyumba inayojengwa kukamilika. Akizungumza na…

Read More

Sh486 milioni kujenga daraja Mto Isenga

Songwe. Hatimaye daraja la Mto Isenga lililopo wilayani Ileje Mkoa wa Songwe limeanza kujengwa kwa gharama ya Sh486 milioni, huku likitarajiwa kurahisisha usafiri kwa wananchi katika vijiji 71 zilivyomo wilayani humo. Akizungumzia ujenzi huo leo Alhamisi Julai 25, 2024, Kaimu Meneja wa Wakala wa Barabara Mjini na Vijijini (Tarura) wilayani humo, Asamisye Pakibanja amesema ujenzi…

Read More

Askari 13, muuguzi wadaiwa kuua mfungwa kwa kipigo

Marekani. Askari 13 na muuguzi mmoja wako hatarini kufukuzwa kazi katika Gereza la Marcy jijini New York, Marekani baada ya kuhusika katika shambulizi lililosababisha kifo cha mfungwa katika gereza hilo. Kipande cha video kilichotolewa na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali nchini humo, kinaonyesha askari hao wakimshushia kipigo mfungwa huyo, Robert Brooks (43) muda mfupi…

Read More

Wachimba madini waonywa matumizi holela ya zebaki

Dodoma.  Wachimbaji wadogo wa madini nchini wametakiwa kuzingatia matumizi sahihi ya kemikali ya zebaki inayotumika kuchenjulia madini,  ili wajiepushe na madhara yanayotokana na matumizi holela ya kemikali hiyo ikiwemo magonjwa ya ngozi, figo, saratani, kifua na hata kifo. Ushauri huo umetolewa leo Jumamosi Juni 22, 2024 na Baraza la Taifa la usimamizi wa mazingira (NEMC)…

Read More

Abdi Banda aibukia Dodoma Jiji

BEKI kisiki wa zamani wa Coastal Union, Simba na Mtibwa Sugar, Abdi Banda amejiunga na Dodoma Jiji kama mchezaji huru baada ya kuvunja mkataba na Baroka FC ya Afrika Kusini. Banda alivunja mkataba na Baroka miezi mitatu tangu ajiunge na timu hiyo inayoshiriki Ligi ya Championship. Beki huyo alivunja mkataba na timu hiyo baada ya…

Read More

Wakulima wa parachichi wafunguliwa soko China

Dar es Salaam. Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (Fao), kwa kushirikiana na Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA), limesaidia kampuni tatu za Tanzania kupata soko la parachichi nchini China. Mafanikio hayo yanatokana na ushirikiano kati ya Serikali na wadau katika sekta ya kilimo na biashara. Soko hilo limepatikana…

Read More