Job Ndugai afariki dunia, atakumbukwa kwa haya

Dodoma. Aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amefariki dunia jijini Dodoma, Taarifa ya Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson, aliyoitoa leo Jumatano, Agosti 6, 2025, imesema: “Kwa masikitiko makubwa, naomba kutoa taarifa ya kifo cha kiongozi wetu, mwanasiasa mkongwe na Spika mstaafu wa Bunge, Job Ndugai, kilichotokea leo jijini Dodoma.” “Natoa pole…

Read More

Makada 58 Kilimanjaro waitosa Chadema, wamtaja Ndesamburo 

Moshi. Viongozi na wanachama zaidi ya 58 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kilimanjaro, akiwamo Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa, Gervas Mgonja wamejivua uanachama wao kwa madai ya kutoridhishwa na mwenendo wa chama hicho. Viongozi wengine waliojivua ni Katibu wa Bawacha Kanda ya Kaskazini, Rachael Sadick, Mwenyekiti wa Bawacha Mkoa wa Kilimanjaro,…

Read More

JKT vs Singida BS patachimbika Mej. Jen Isamuhyo

REKODI ya JKT Tanzania kuwa timu pekee kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu ambayo haijapoteza mechi nyumbani itaendelea kudumu? Hilo ni swali wanalojiuliza wengi wakati Wanajeshi hao wa Kujenga Taifa watakapowakaribisha Singida Black Stars. Ni katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopangwa kuchezwa kuanzia saa 10 jioni leo Alhamisi kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo…

Read More

Jinsi ya kuepuka kupigwa na radi

Dar es Salaam. Kutokaa chini ya miti, kutembea peku katika maji na kusimama katika nguzo ndefu za chuma vimetajwa kuwa vitu visivyopaswa kufanywa na mtu wakati mvua ikinyesha ili asipigwe na radi. Tahadhari hiyo imetolewa na mtaalamu kutoka Ofisi Kuu ya Utabiri kutoka Mamlaka ya Utabiri wa Hali ya Hewa Tanzania (TMA), alipozungumza na Mwananchi….

Read More

Prof. Kabudi Aonya Dhidi ya Waandishi Wasio na Press Card

  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba Kabudi amesema yeyote anayefanya kazi za kihabari bila kuwa na Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Press Card) kinachotolewa na Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari-JAB anavunja sheria ya Huduma za Habari. Waziri Kabudi ametoa kauli hiyo huku akionesha Press Card yake kwenye ufunguzi wa…

Read More

CECAFA Kombe Cup 2025 utamu uko hapa

MICHUANO ya Kombe la Cecafa Kagame imeendelea kunoga huku baadhi ya wachezaji waliotwaa tuzo ya mchezaji bora wa mechi wakifunguka kuhusu ugumu wa michuano hiyo ambayo imefika hatua ya nusu fainali, itakayoanza kuchezwa kesho, Ijumaa. APR ya Rwanda, Singida BS na KMC za Tanzania ndizo timu za kwanza kutinga hatua hiyo kabla ya mechi za…

Read More