Washindi 60 Marathon NBC Dodoma kulamba milioni 80

Jumla ya washindi 60 wa mbio za NBC Dodoma Marathon msimu huu wanatarajiwa kuondoka na zawadi zenye jumla ya thamani ya Sh. 82 milioni pamoja na medali. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mbio hizo zenye hadhi ya kimataifa zinatarajiwa kufanyika tarehe 28 Julai mwaka huu kwenye Uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma. Lengo la mbio hizo…

Read More

Salum Chuku ndiyo basi tena

BEKI wa Tabora United, Salum Chuku atakuwa nje ya uwanja kwa zaidi ya miezi mitatu kuuguza majeraha ya goti aliyoyapata katika duru la kwanza la Ligi Kuu Bara wakati akiichezea timu hiyo dhidi ya maafande wa Tanzania Prisons. Chuku ambaye amefanyiwa upasuaji wa goti amesema hali yake inaendelea vizuri na anaendelea na matibabu kwa matumaini ya…

Read More

KONA YA MALOTO: Karata za urais 2030 CCM, zinachezwa 2025

Mayowe na miluzi ni mingi kuzunguka uteuzi wa wagombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Taarifa za waliokatwa na waliopenya zinatawala mitandao ya kijamii. Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla, ameshatoa tamko kuwa hakuna ambaye ameshakatwa. Zipo taarifa zinasambaa pia kuhusu waliotangazwa kukatwa, kisha kurejeshwa….

Read More

RAIS WA ZANZIBAR, AMEFUNGUA KAMBI YA MATIBABU NA UCHUNGUZI WA AFYA YA KUMUENZI HAYATI ALI HASSAN MWINYI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa Serikali, Familia na Wananchi katika kumuombea dua Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Ali Hassan Mwinyi, kabla ya kufunguwa Kambi ya Matibabu na Uchunguzi wa Afya, unaofanywa na Madaktari Bingwa kutoka Nchini Kenya, ikiwa ni…

Read More

Je Scholz ataweza kupata tena ushindi kama ilivyokuwa 2021? – DW – 03.12.2024

Kansela Scholz amekiambia chama chake cha Social Democratic, SPD kwamba uchaguzi mkuu utakaofanyika mnamo mwezi Februari mwakani ni muhimu kwa sababu ndio utakaoamua juu ya mustakabali wa Ujerumani. Scholz alitamka hayo mbele ya wanachama wa chama chake wapatao 500 mjini Berlin. “Bunge jipya la Ujerumani litachaguliwa tarehe 23 Februari mwakani. Hatuna muda wa kupoteza. Tunapaswa…

Read More

Vijana 1,000 kutolewa kwenye umaskini, utegemezi mitaani Mwanza

Na Mwandishi Wetu, Mwanza Vijana 1,000 walio mtaani ambao hawasomi wanatarajia kunufaika kiuchumi kwa kupata stadi za maisha, elimu ya kusimamia biashara na ujasiriamali, kukuza mitaji na kutumia majukwaa ya kidijitali kukuza biashara zao kupitia mradi wa Vijana Elimu Malezi na ajira (VEMA) unaolenga kuwawezesha kiuchumi. Hayo yamebainishwa jijini hapa katika kikao cha kujadili mrejesho…

Read More

‘Malalamiko ya umeme, huduma za afya yashughulikiwe’

Unguja. Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Mohamed Said Dimwa, amezitaka wizara nne kushughulikia malalamiko ya wananchi kuhusu urasimu wa kuunganishiwa umeme na huduma duni za afya katika Hospitali ya Wilaya ya Micheweni. Wizara zilizotakiwa kuchukua hatua ni wizara ya Afya, Maji, Nishati na Madini Zanzibar. Dk Dimwa ameagiza kuwa ndani…

Read More