Miili zaidi yaopolewa Ziwa Victoria ajali ya kuzama mtumbwi

Mwanza. Miili mingine minane imeopolewa Ziwa Victoria baada ya mtumbwi wa mizigo uliobeba abiria wanaodaiwa kufikia 31 kuzama Septemba 25, 2024. Awali, Jeshi la Polisi lilisema lilikuwa likiendelea kutafuta mwili mmoja lakini imeopolewa minane, hivyo kuacha maswali kuhusu idadi ya waliokuwa kwenye mtumbwi huo. Ajali hiyo ilitokea saa 11.00 jioni katika mwalo wa Bwiru wilayani…

Read More

Mmoja Morogoro asombwa na maji, akutwa kwenye karavati

Morogoro. Mwanaume mmoja ambaye hajafahamika jina, mkazi wa kata ya Mkundi, mkoani Morogoro amenusurika kufa baada ya kusombwa na maji kufuatia mvua iliyonyesha kuanzia jana jioni hadi leo Jumatano, Machi 12, 2025 alfajiri. Mvua hizo ambazo zinanyesha maeneo mbalimbali nchini kama zilivyotabiriwa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), ambapo zilitoa tahadhari za kuchukuliwa…

Read More

Huko Yanga bado mmoja tu!

YANGA imeshaanza maandalizi ya msimu mpya wa mashindano kwa mwaka 2025-26 na jana Jumapili mazoezi ya timu hiyo yalisitishwa kidogo kisha kufanyika kikao kizito kati ya mabosi wa klabu hiyo na mastaa wa timu hiyo huku mashine moja tu ikikosekana ukiacha wale walioko timu ya Taifa. …

Read More

RAIS SAMIA ACHANGIA MILIONI 100 UJENZI WA KANISA

*MILANGO YA RAIS SAMIA IKO WAZI, ANAWAKARIBISHA VIONGOZI WA DINI: DKT. BITEKO* 📌 *Dkt. Biteko Amwakilisha Rais Samia Jubilei ya Miaka 50 ya AICT Magomeni* 📌*Rais Samia Achangia Milioni 100 Ujenzi wa Kanisa* 📌*Awahimiza Waaumini Kujitoa Kujenga Kanisa* 📌 *Atoa Wito kwa Viongozi wa Dini Kutimiza Kusudi la Mungu* 📌 *Awahimiza Watanzania Kushiriki Uchaguzi wa…

Read More