Nyota Tabora United amzimia Mpanzu

BEKI wa zamani wa Polisi Tanzania na Yanga anayekipiga kwa sasa Tabora United, Yassin Mustafa amemtaja Elie Mpanzu, ndiye winga hatari zaidi katika Ligi Kuu Bara na ni Luis Miquissone mpya wa kikosi cha Simba. Mpanzu alijiunga na Simba dirisha dogo la usajili na tayari ameanza kuonyesha ubora katika kikosi hicho akiingia moja kwa moja…

Read More

Ukatili dhidi ya wanawake uliongezeka Ujerumani 2023 – DW – 21.11.2024

Kulingana na takwimu za Ofisi ya BKA wanawake 180,715 wa nchini Ujerumani waliripoti kufanyikiwa matendo ya unyanyasaji majumbani katika kipindi cha mwaka 2023. Idadi hiyo ni ongezeko la asilimia 5.6 ikilinganishwa na mwaka uliotangulia. Naibu Kiongozi wa Idara ya Kitaifa ya Polisi inayochunguza makosa ya jinai Michael Kretschmer amewamaambia waandishi habari mjini Berlin kwamba vitendo…

Read More

UNDP yaionyesha njia Tanzania ya kuvuta uwekezaji zaidi

Dodoma. Shirika la Kimataifa la Maendeleo (UNDP) limesema ili Tanzania iweze kupanda zaidi daraja la uwezo wa kukopesheka (credit rating) na hivyo kuvuta uwekezaji zaidi ni lazima kuboresha usimamizi wa uchumi. Julai 2024, Taasisi ya Kimataifa inayojihusisha na ufanyaji tathmini kwa nchi kujua uwezo wake wa kukopesheka (Fitch Rating) ilieleza kuwa Tanzania bado ina uwezo…

Read More

Ukweli kuhusu mwanamke kuchelewa ukomo wa hedhi

Dar es Salaam. Ukomo wa hedhi (menopause) ni kipindi cha maisha ya mwanamke kinachotokea afikiapo umri wa miaka kati ya 45 hadi 55, japo wapo wanaoweza kupata mapema au kwa kuchelewa. Hali hii husababisha kupungua kwa uzalishaji wa homoni za oestrojeni na progesterone, jambo linalosababisha mabadiliko mengi ya kiafya na tabia. Kisayansi oestrojeni ni homoni…

Read More

Fadlu Davids aweka mtego Ligi Kuu Bara

SIMBA waliitaka mechi ya leo dhidi ya Pamba Jiji na wamepatiwa baada ya hapo awali Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kuitoa katika tarehe iliyopangwa ili kuipa nafasi zaidi timu hiyo kujiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya makundi dhidi ya Bravos. Kocha mkuu wa Simba, Fadlu Davids aliona kukaa wiki mbili…

Read More

Dili la Camara mikononi mwa Diarra

KUNA lile bato la Djigui Diara, kipa mwenye rekodi zake bora katika Ligi Kuu Bara kwa misimu minne na yule wa Simba, Moussa Camara aliyetua Msimbazi msimu huu ambao wanawania ubabe wa ‘cleen sheet’ mwisho wa msimu. Lakini, nyuma ya hilo makipa hao pia wana mengi, ingawa kwa Camara huenda akawa na jipya ambalo kwa…

Read More

Kocha Fufuni macho yote kwa Simba

JANA Jumatatu kuanzia saa 10:15 jioni, vinara wa Ligi Kuu Zanzibar, Fufuni walikuwa uwanjani kucheza dhidi ya Muembe Makumbi City katika Kombe la Mapinduzi 2026, lakini kocha wa kikosi hicho, Suleiman Mohamed ‘Mani Gamera’ alikuwa ameitolea macho Simba. Fufuni kutoka kisiwani Pemba, imepanda daraja Ligi Kuu Zanzibar msimu huu 2025-2026, na kupata nafasi ya kushiriki…

Read More