Hospitali ya Aga Khan yatunukiwa tuzo mbili kimataifa
Dar es Salaam. Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam (AKH-D), imeandika historia mpya, baada ya kutunukiwa tuzo mbili katika Kongamano la 48 la Hospitali Duniani. AKH-D imetunukiwa tuzo hiyo na Shirikisho la Kimataifa la Hospitali (IHF), ikiwa miongoni mwa taasisi chache kutoka Afrika Mashariki zilizofanikiwa kutambulika kwa ubora, uongozi thabiti na uwajibikaji wa kijamii….