ACT-Wazalendo wapinga uchaguzi Zanzibar kufanyika siku mbili
Unguja. Chama cha ACT-Wazalendo kimesisitiza msimamo wake wa kupinga uchaguzi mkuu kufanyika siku mbili visiwani Zanzibar, kikitaka ufanywe siku moja. Mwenyekiti wa chama hicho, Othman Masoud Othman amesema hawatakubali jambo hilo liendelee. Othman ambaye pia ni makamu wa kwanza wa Rais visiwani humo, anakuja na hoja hiyo ilhali ni takwa la kisheria iliyotungwa kwa lengo…