Wizi wa mtandaoni waliza Watanzania Sh5.3 bilioni

Dar es Salaam. Tanzania imepoteza Sh5.345 bilioni kutokana na udanganyifu mwaka 2024, matukio yanayohusishwa na udanganyifu huo ni uhamishaji wa fedha kupitia simu za mkononi, benki, na utoaji wa fedha kwa ATM, kama inavyoonyeshwa na ripoti mpya ya Takwimu za Uhalifu na Ajali za Barabarani. Kiasi hicho kinaashiria ongezeko kutoka Sh5.067 bilioni zilizoripotiwa mwaka uliopita,…

Read More

Kutojua sheria kulivyomkosesha Sh505 milioni za Tanesco

Arusha. Kama sio kutoijua sheria vizuri, pengine Clara Kachewa angepata kifuta machozi cha Sh505 milioni alichokuwa akilidai Shirika la Umeme (Tanesco), baada ya kupigwa shoti ya umeme iliyosababishwa na waya wa umeme ulioangukia kwenye nyumba yao Tabata Dar es Salaam. Ajali hiyo ya umeme imemsababishia Clara Kachewa madhara ya kudumu ya kupoteza kumbukumbu. Kutokana na…

Read More

Makalla: CCM haijiweki yenyewe madarakani

Newala. Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema dhana ya baadhi ya watu vikiwamo vyama vya siasa kudhani kuwa chama chake kinajiweka chenyewe madarakani ni potofu. Amesisitiza kwamba ushindi wa CCM mara zote hutokana na kazizinazofanywa na viongozi wake wa chama na Serikali. Akizungumza leo…

Read More

Baraza amvuta Mkenya mwenzie Pamba Jiji

BAADA ya Pamba Jiji kukamilisha dili la Francis Baraza kwa ajili ya kukiongoza kikosi hicho msimu ujao, kwa sasa kocha huyo inaelezwa amempendekeza Mkenya mwenzake, John Waw ndani ya timu hiyo, kwa lengo la kufanya kazi naye tena. Baraza aliyewahi kuzifundisha Biashara United na Kagera Sugar zote za Tanzania, amejiunga na Pamba kwa lengo la…

Read More

Zambia ndio basi tena CHAN 2024

ZAMBIA imekuwa timu ya tatu kuaga michuano ya CHAN 2024 baada ya jioni kupoteza mechi ya tatu ya Kundi A kwa kufungwa mabao 3-1 na Morocco. Ushindi huo wa Morocco umepatikana jijini Nairobi na kuifanya ifikishe pointi sita, huku Zambia ikiwa haina pointi yoyote. Zambia imezifuata Nigeria na Afrika ya Kati zilizoaga michuano kutoka Kundi…

Read More

Huduma nyeti za intaneti zilivyosimama

Dar es Salaam. Licha ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kueleza jitihada zinafanyika ili intaneti irejee kama kawaida, jana na leo hali haikuwa shwari kwa utoaji huduma zinazotumia mtandao huo zikiwamo zile nyeti. Miongoni mwa huduma hizo ni malipo kwa njia ya simu, kutoa fedha benki, tiba mtandao na elimu mtandao. Taarifa ya TCRA iliyotolewa…

Read More

Bruce Melodie agonga kolabo na Diamond Platnumz

Last updated Jan 19, 2026 Na MWANDISHI WETUMSANII wa muziki nchini Rwanda, Bruce Melodie ametoa kibao kikali kinachokwenda kwa jina la POM POM. Katika wimbo huo, Bruce Melodie amepiga kolabo na wasanii wakali Afrika, Diamond Platnumz kutoka hapa Bongo na Joel Brown wa Nigeria. Kazi hii iliyotolewa na 1:55 AM Entertainment, ni mchanganyiko wa…

Read More