Trafiki wawili wafariki dunia kwa kupigwa na radi

Mirerani. Askari wawili wa usalama barabarani kutoka Kituo cha Polisi Mirerani, wilayani Simanjiro, mkoani Manyara, wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi wakiwa kazini. Tukio hilo limetokea wakati askari hao wakiendelea na majukumu yao ya kudhibiti usalama wa barabarani, ambapo ghafla mvua iliyokuwa ikinyesha iliambatana na radi iliyosababisha vifo hivyo. Kamanda wa Polisi wa Mkoa…

Read More

Pembejeo, mikopo vyatajwa kuongeza uzalishaji tumbaku

Serengeti. Imeelezwa kuwa kilimo cha tumbaku mkoani Mara kinaendelea kuwa mkakati muhimu wa kukuza uchumi wa wakulima na jamii, hasa katika wilaya za Serengeti, Tarime na Rorya. Ambapo wakulima 2,944 wamejisajili  kwenye Bodi ya Tumbaku kwa ajili ya kilimo cha zao hilo. Katika mkutano wa Chama Kikuu cha Wakulima wa Mara (Wamacu) unaoshirikisha wadau wa…

Read More

Jinsi Raila alivyoukosa uenyekiti Umoja wa Afrika

Waziri wa Mambo ya Nje wa Djibouti, Mahmoud Youssouf amemshinda Raila Odinga wa Kenya kwenye kinyang’anyiro cha mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC). Mchuano huo uliokwenda hadi mzunguko wa saba Youssouf ameshinda kwa kupata kura 33, baada ya Raila kuondoa jina lake. Raila alilazimika kuondoa jina lake kwenye mzunguko wa sita, wakati huo…

Read More

Mhagama: Changamkieni fursa za uwekezaji nchini

Na Mwandihi Wetu, Mtanzania Digital Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama ametoa shime kwa Baraza la Uwekezaji wa Wananchi Kiuchumi kwa kushirikiana na Sekta Binafsi na wadau mbalimbali kutambua mawanda makubwa ya uwekezaji yaliyo katika nchini. Kauli hiyo ameitoa wakati akizungumza katika Kongamano la Nne…

Read More