Majaji wabainisha mlango aliopaswa kupita Mpina
Dodoma. Ni kama vile Mahakama Kuu iliyosikiliza shauri la kikatiba lililofunguliwa na Luhaga Mpina na Bodi ya Wadhamini ya ACT-Wazalendo, imewaonyesha wadai hao mlango wanaoweza kupita kuendelea kudai haki yao. Mpina na Bodi hiyo walifungua shauri la kikatiba dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), kupinga hatua…