
Netanyahu alemewa na shinikizo kufikia makubaliano – DW – 03.09.2024
Kwenye hotuba yake kwa taifa kufuatia maandamano na mgomo mkubwa siku ya Jumatatu (Septemba 2), Netanyahu alisema ameziomba radhi familia za mateka sita ambao miili yao ilipatikana mwishoni mwa wiki kwenye Ukanda wa Gaza, lakini wakati huo huo alisisitiza kuwa asingeliweza kufikia makubaliano yoyote na kundi la Hamas ikiwa kundi hilo halitatimiza masharti ya serikali…