Vifo vyafikia 37,084 Gaza, Papa Francis aagiza kusitisha mapigano
Gaza. Ikiwa leo ni siku ya 247 tangu kuanza kwa mapigano kati ya Jeshi la Israel na wapiganaji wa kundi la Hamas kutoka Palestina, taarifa kutoka eneo la mapigano zinasema hadi sasa vifo vimefikia 37,084. Shirika la Habari la AFP limeinukuu Wizara ya Afya ya Gaza ikisema leo Jumapili Juni 9, 2024 kwamba vifo hivyo…