Sudan, 'machafuko yanayoharibu zaidi ya kibinadamu na uhamishaji ulimwenguni' – maswala ya ulimwengu

1) Vita: 2023 Khartoum Mapigano ya Herald Mwisho wa Mchakato wa Amani Mwisho wa 2022, kulikuwa na matumaini kwamba mchakato wa amani ambao haujarudishwa hatimaye utasababisha utawala wa raia huko Sudani, baada ya kipindi kigumu ambacho kiliona kuanguka kwa dikteta wa muda mrefu Omar al-Bashir katika mapinduzi ya kijeshi, ikifuatiwa na Kukandamiza kwa ukali kwa…

Read More

Mechi za kimataifa kukupatia maokoto leo

Leo hii wikendi ndio inaanza hivyo ambapo mechi kibao za mataifa zitapigwa hapo baadae kusaka tiketi ya Afcon kwa upande wa Afrika na kule Ulaya ni mechi za kutafuta nafasi nzuri kwenye msimamo wa mataifa. Portugal anayeongoza kundi A atamleta kwake Poland ambaye ana pointi 4 huku Meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda Mreno kwa…

Read More

Yanga vs Azam hapa sasa mtainjoi, kisasi kitalipwa

HII utaipenda na mtasema mlikujaje. Ndivyo unavyoweza kusema wakati fainali ya mechi za Ngao ya Jamii itakapopigwa kesho Jumapili. Ndio, ni bonge la mechi kwa mashabiki wa soka nchini. Achana na Dabi ya Kariakoo iliyopigwa Alhamisi. Achana na matokeo ya ushindi wa bao 1-0 iliyopata Yanga mbele ya Simba. Achana na madudu yaliyofanywa na waamuzi wa…

Read More

Rais Dkt. Mwinyi Akabidhiwa Rasmi Tuzo ya “African’s Best Corporate Retreat Destination 2025”

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, leo tarehe 12 Desemba 2025, amepokea tuzo ya kuwa Kivutio Bora cha Mikutano ya Kimkakati Barani Afrika (African’s Best Corporate Retreat Destination 2025). Tuzo hiyo imetolewa baada ya Zanzibar kushinda katika Tuzo za Utalii Duniani (World Travel Awards 2025) zilizofanyika nchini…

Read More

Wahariri wapewa elimu kuhusu Muungano

Mwandishi Wetu Dar es Salaam. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamadi Yussuf Masauni amesema Waandishi wa Habari wana wajibu mkubwa katika kusimamia uwepo wa taarifa zinazojenga Muungano na kuondoa upotoshaji unaoweza kusababisha mgawanyiko. Mhe. Masauni amesema vyombo vya habari vina umuhimu wa kuhakikisha taarifa zinazochapishwa ni sahihi, zenye vyanzo vya…

Read More

Muundo INEC waendelea kukosolewa na wadau

Dar es Salaam. Ukiwa umepita mwezi mmoja tangu Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ianze kutumika, baadhi ya wadau wameendelea kuikosoa wakisema haijakidhi malalamiko ya wananchi kuhusu uendeshwaji wa uchaguzi nchini. Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Na.2 ya 2024 ni miongoni mwa sheria tatu zilizotiwa saini na Rais Samia Suluhu…

Read More

Zanzibar ina mtaalamu mmoja wa upasuaji moyo

Unguja.  Zanzibar inakabiliwa na changamoto ya uhaba wa wataalamu wa magonjwa ya moyo, ambapo kwa sasa kuna wataalamu wa moyo wanne pekee, huku mmoja tu akiwa na uwezo wa kufanya upasuaji wa moyo. Hali hii imebainika wakati wa uzinduzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Moyo Tanzania (CardioTan 2025) pamoja na mafunzo ya awali ya uokoaji…

Read More

FYATU MFYATUZI: Hongereni mafyatu kwa kumpenda Mama

‘Mwanafalsafa’ maarufu wa Uganda, alhaj, Doktari, field Marshall, profedheha Idi Amin Kaidada Oumee aliyepata elimu yake mtaani, aliwahi kusema kuwa lazima watawaliwa wawapende watawala bila kujali lolote au wanawatweza vipi. Lazima wawasifie hata wakikosea. Wawachekee hata kama wanapaswa kulia. Wawaabudu ikibidi hata kama wao si Mungu. Kwani, kufanya hivyo, huleta ‘amani na maendeleo’ hata kama…

Read More