EWURA YATEMBELEA MRADI WA UMEME WA SOLA KISHAPU

  Na Tobietha Makafu & Janeth Mesomapya Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetembelea mradi wa kuzalisha umeme kwa nishati ya jua uliopo Kishapu, mkoani Shinyanga, leo tarehe 27 Septemba 2025. Akitoa taarifa kwa Bodi, Meneja wa Mradi Mha. Emmanuel Anderson alisema, mradi huo unatekelezwa kwa awamu…

Read More

Mahakama yazuia uchaguzi wa Chama cha soka Temeke

Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam, imezuia kufanyika kwa uchaguzi wa Chama cha Soka Wilaya ya Temeke (Tefa) uliokuwa umepangwa kufanyika kesho, Agosti 4, 2024. Amri ya kuzuia uchaguzi huo imetolewa jana Agosti 2, 2024 na Jaji Obadia Bwegoge, kufutia shauri la maombi ya zuio la muda baada ya kukubaliana na hoja zilizotolewa na…

Read More

Pura kuendesha mnada wa vitalu 26 mafuta

Morogoro. Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (Pura), ambayo ni taasisi chini ya Wizara ya Nishati, imepanga kuendesha mnada wa vitalu 26 vya utafutaji mafuta na gesi asilia, kati ya hivyo 23 vipo katika Bahari ya Hindi na vitatu vikiwa katika Ziwa Tanganyika. Lengo kuu ni kuvutia wawekezaji na kuimarisha juhudi za…

Read More

Mtasingwa: Azam FC tunaandika historia

LICHA ya kuwa nje ya uwanja akiuguza majeraha, kiungo wa Azam FC, Adolf Mtasingwa amesema kesho Ijumaa historia itaandikwa kwa klabu hiyo kutinga hatua ya makundi ya michuano ya CAF kwa mara ya kwanza huku akiwapongeza nyota wa timu hiyo kwa kuipambania nembo ya klabu. Mara ya mwisho kuonekana uwanjani kwa kiungo huyo mkabaji ilikuwa…

Read More

Maaskofu 500 wa kanisa la Gwajima watinga mahakamani

Dodoma. Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church, maarufu kama Kanisa la Ufufuo na Uzima, limefungua kesi Mahakama Kuu, Kanda ya Dodoma, likiomba amri ya muda ya kuondoa zuio lililowekwa na Serikali dhidi ya kuendelea kwa shughuli zake za kidini, huku ikiripotiwa takribani maaskofu 500 wamefika kusikiliza kesi hiyo. Kesi hiyo inalenga kulinda hadhi ya…

Read More

Hii hapa sababu bei ya nyama kupaa Tanzania

Dar es Salaam. Wakati uzalishaji wa nyama nchini ukiongezeka kwa asilimia 42.8 kati ya mwaka 2020 hadi 2024, soko la uhakika limetajwa kuwa sababu ya ukuaji huo. Ripoti ya Takwimu Msingi za Tanzania zinazotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) 2024, inaonesha kuwa uzalishaji wa nyama ulitoka tani 738,166 mwaka 2020 hadi kufikia tani…

Read More

KURA 7,092 ZA MPA UBUNGE ‘PELE’ JIMBO LA KWAHANI

Mbunge mteule wa Jimbo la Kwahani Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharib, Zanzibar, Bw.Khamis Yussuf Mussa akinyanyua juu hati yake ya ushindi baada ya kukabidhiwa na Msimamizi wa Uchaguzi. Mbunge mteule wa Jimbo la Kwahani Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharib, Zanzibar, Bw.Khamis Yussuf Mussa akionesha hati yake ya ushindi baada ya kukabidhiwa…

Read More