Mwabukusi azungumzia kifo cha Wakili Seth

Kagera. Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amesema mara ya mwisho kuonekana hadharani Wakili Seth Niyikiza, ilikuwa Februari 19, 2025 hadi alipopatikana akiwa amefariki dunia ndani ya nyumba yake. Wakili Seth alikutwa amefariki dunia nyumbani kwake maeneo ya Bukoba mjini, Februari 25, 2025 baada ya mteja wake kuona inzi wengi dirishani na…

Read More

Dube aikosha Yanga, atabiriwa makubwa

MSHAMBULIAJI Prince Dube ameshaliamsha balaa baada ya kutupia kwa kasi tena akianza na hat trick kwenye ligi, hatua ambayo imekuwa faraja pia kwa mastaa wenzake ndani ya kikosi hicho wakisema jamaa atafunga sana. Wakizungumza kwa nyakati tofauti, nahodha msaidizi wa Yanga beki Dickson Job ameliambia Mwanaspoti kwamba kila mmoja ndani ya kikosi hicho alikuwa anasubiria…

Read More

Taa za barabarani zazalishwa nchini Tanzania

Dar es Salaam. Ununuzi wa taa za barabarani kutokana nje ya nchi huenda ukakoma, baada ya wataalamu nchini Tanzania kutengeneza taa za sola na umeme zenye uwezo wa kudumu miaka 100. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumatatu Julai 8, 2024 katika Maonyesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba), Salome Lwanteze, mhandisi katika Kiwanda cha…

Read More

Waziri Mhagama ajitwisha zigo bima ya afya kwa wote

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Waziri wa Afya, Jenister Mhagama amesema atahakikisha mchakato wa uanzishwaji Bima ya Afya kwa Wote unakamilika haraka kwa sababu magonjwa hayasubiri na hilo ndilo jukumu kubwa alilopewa. Waziri Mhagama ameyasema hayo leo Septemba 11,2024 baada ya kutembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) na Taasisi ya Tiba ya Mifupa,…

Read More

AZAKI zataja sifa 10 za viongozi wa kuchaguliwa

  ILANI ya asasi za kiraia (AZAKI), imetaja sifa 10 za kiongozi anayeweza kuisaidia nchi kimaendeleo, ikiwamo anayesimamia na kuheshimu Katiba, kulinda haki za binadamu na kuliunganisha taifa. Anaripoti Restuta James, Dar es Salaam … (endelea). Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Onesmo Ole Ngurumwa, ameiambia MwanaHALISI kuwa sifa hiyo…

Read More

Aweso amtwisha zigo bosi mpya Dawasa

Dar es Salaam. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametoa maagizo matano kwa Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa), Mkama Bwire ikiwemo kushughulikia changamoto ya mishahara kwa wafanyakazi. Mengine ni ukamikishaji wa ujenzi wa Ofisi ya Dawasa Kigamboni, kutafuta mambomba na kuwaunganishia maji wananchi, kuwapatia usafiri…

Read More