Hivi ndivyo unavyoweza kujinasua dhidi ya uraibu wa ‘kubeti’
Dar es Salaam. Kama unashiriki michezo ya bahati nasibu ‘kubeti’ na umefikia hatua unatamani kuacha na unashindwa, zipo mbinu kadhaa zitakazokusaidia kufanikisha hilo. Kwa mujibu wa ushuhuda wa waliofanikiwa kujinasua kutoka kwenye uraibu wa kubeti, si rahisi kujitenga na michezo hiyo, ingawa inawezekana. Sambamba na ushuhuda wa waraibu, wanazuoni nao wanaunga mkono uwezekano wa kuondokana…