DAR ES KUKOSA UMEME KWA SAA 10,MAENEO HUSIKA YATAJWA
::::::: Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limetangaza kukatika kwa umeme kesho Jumapili, Septemba 7, 2025, kutokana na matengenezo katika kituo cha kupoza umeme cha Gongolamboto. Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Septemba 6, 2025 imesema, umeme utakosekana kuanzia saa 1 asubuhi hadi saa 11 jioni, hatua inayolenga kuimarisha huduma kwa wateja wake wa Mkoa wa Ilala na…