Ngowi achaguliwa kuwa diwani Kirua Vunjo Magharibi
Moshi. Msimamizi msaidizi wa uchaguzi wa Kata ya Kirua Vunjo Magharibi, Daniel Maeda amemtangaza Heriel Ngowi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa diwani wa kata hiyo, baada ya kupata kura 3,536 za ‘Ndiyo’ kati ya kura 4,358 zilizopigwa.Uchaguzi huo umefanyika baada ya kusogezwa mbele kufuatia kifo cha aliyekuwa mgombea udiwani kupitia CCM, John Kessy, aliyefariki…