Mutale afichua siri Msimbazi | Mwanaspoti
WINGA Joshua Mutale amekuwa mtamu kama mcharo. Kwa wanaokumbuka wakati anatua Msimbazi kutoka Power Dynamos ya Zambia, jina lake lilibeba matumaini. Mutale maarufu kama Budo, aliingia kikosi cha Simba kama mmoja wa wachezaji waliotarajiwa kuleta mapinduzi msimu huu, lakini kama ilivyo kwa nyota wengi, safari yake haikuwa tambarare, hata hivyo kwa sasa ni kama gari…