Kamwe: Msipoona mafuriko kesho, nipigeni makofi
Msemaji wa Yanga, Ally Kamwe ametoa ahadi nzito kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi ya Mabingwa Afrika, akisema kama Yanga isiposhinda kwa kishindo atakubali kupigwa makofi. Akizungumza klabuni hapo, Kamwe amewatoa wasiwasi mashabiki wa timu hiyo wenye wasiwasi na timu yao akisema mfumo uwanjani umeshakubali. Kamwe amesema wameshajaribu kila kitu kuelekea mchezo huo wa marudiano…