Tuungane pamoja tuimalize Morocco | Mwanaspoti

LEO ndiyo leo na asemaye kesho muongo, maana timu yetu ya taifa ‘Taifa Stars’ inaweza kuandika historia ya kibabe kwenye mashindano ya CHAN au safari yake ikaishia kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa itakapokabiliana na Morocco. Na kwa vile ni robo fainali, maana yake timu itakayopoteza itaaga rasmi mashindano hayo yanayoshirikisha wachezaji wanaocheza ligi za ndani…

Read More

GSM achangia Milioni 60 maboresho kituo cha Afya

Rais wa @gsmgroupofcompanies mdhamini na mfadhili wa klabu ya Yanga Ghalib Said Mohamed ‘GSM’ akiwa anasheherekea siku yake ya kuzaliwa hii leo amechangia Tsh milioni 60 kwa ajili ya maboresho ya kituo cha Afya cha Kibaigwa. GSM Ameahidi kisima cha maji, lakini pia ametoa mashine ya kuhudumia watoto njiti na matengenezo ya sehemu maalumu ya…

Read More

FEZA Boys yafaulisha wanafunzi wote

SHULE Sekondari Feza Boys imejivunia uwekezaji iliyofanya katika kumuandaa mwanafunzi kuwa bora baada ya kufaulisha wanafunzi wote kwa kupata daraja la kwanza katika mtihani wa Taifa wa kidato cha nne ulifanyika mwaka 2024, huku zaidi ya asilimia 65 wakipata division 1.7. Hayo ameyasema Makamu Mkuu wa Shule ya FEZA Boys, Shabani Mbonde wakati akizungumza na…

Read More

Pina mwamba aliyeandika rekodi mpya Zanzibar

UNGUJA: STRAIKA wa Mlandege na nyota wa timu ya taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes, Abdallah Idd ‘Pina’ ameweka rekodi Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) wakati msimu ukiwa ukingoni. Pina aliyekosa mechi saba kati ya 27 ilizocheza timu hiyo anamiliki mabao 19, amekuwa gumzo kwa kufunga hat trick mbili katika mechi moja ya ligi shidi ya Tekeleza…

Read More

Heche na Mnyika waitwa kortini, sababu yatajwa

Dar es Salaam. Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Makamu Mwenyekiti (Bara), John Heche na Katibu Mkuu, John Mnyika pamoja na makada wengine watano na boadi ya wadhamini, wameitwa mahakamani kutokana na kukabiliwa na shauri la madai ya kuidharau mahakama. Shauri hilo la madai mchanganyiko namba 25480 la mwaka 2025, linatokana na kesi…

Read More

Benki ya NBC, Jubilee Allianz Waungana Kuwajengea Uwezo Wakandarasi Zanzibar, Serikali Yapongeza.

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), kwa kushirikiana na Kampuni ya Bima ya Jubilee Allianz Tanzania, wameendesha semina maalum kwa wakandarasi wa Zanzibar wakilenga kuwajengea uwezo zaidi wakandarasi hao ili waweze kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo visiwani humo kwa ufanisi zaidi kupitia huduma bora za kifedha na bima zilizobuniwa mahususi kwa ajili yao. Warsha hiyo…

Read More

Hersi, Kamwe wageuka kivutio Yanga

Rais wa Yanga Hersi Said, ofisa habari wa klabu hiyo Ally Kamwe na kiungo mshambuliaji Clatous Chama wameibuka washehereshaji kwa kucheza juu ya gari lililobeba mataji ya klabu hiyo. Watatu hao wamesimama na kucheza nyimbo mbalimbali zilizopigwa ukiwemo Aviola baada ya gari hiyo kusimama zaidi ya nusu saa kutokana na foleni. Msafara wa Yanga ulitoka…

Read More

Wananchi watoa neno ushindi wa Lissu

Moshi. Baadhi ya makada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kilimanjaro, wamezungumzia kupatikana kwa safu ya juu ya viongozi wa chama hicho wakisema wanaona mwelekeo mpya.  Hiyo ni baada ya Freeman Mbowe aliyehudumu kama mwenyekiti wa chama hicho kwa zaidi ya miaka 20, kuangushwa na aliyekuwa makamu mwenyekiti wake, Tundu Lissu katika uchaguzi uliokuwa…

Read More

Wanandoa wauawa Tabata, dada asimulia

Dar es Salaam. Ni nani amewaua wanandoa Antony Ngaboli (46) na Anna Amiri (39)? Hili ni swali linaloulizwa na kila mmoja aliyefika nyumbani kwa wawili hao eneo la Tabata Bonyokwa GK, wilayani Ilala jijini Dar es Salaam kujua chanzo cha kifo chao. Tukio hilo limetokea usiku wa kumkia leo Alhamisi, Juni 12, 2025 baada ya…

Read More