Posho yaibua sintofahamu uchaguzi Bavicha
Dar es Salaam. Mkutano wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha) ulisimama kwa dakika kadhaa leo, Jumatatu Januari 13, 2025, baada ya wajumbe kuhoji hatma ya posho zao za kujikimu, tofauti na ahadi walizokuwa wamepewa awali. Tukio hilo limetokea katika ukumbi wa Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam, muda mfupi baada ya viongozi wa kitaifa…