Viongozi, wafuasi Chadema wajitokeza mahakamani kufuatilia uamuzi kesi ya Lissu
Dar es Salaam. Viongozi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamejitokeza katika Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam kufuatilia kesi ya Tundu Lissu. Lissu amefungua shauri la maombi mahakamani hapo akipinga uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam, Kisutu kuahirisha usikilizwaji wa kesi ya kuchapisha taarifa za uongo…