TANZANIA KUBEBA SAUTI YA AFRIKA COP30, NISHATI SAFI YAPEWA KIPAUMBELE
Mwandishi Wetu, Dodoma. Tanzania kwa nafasi yake ya Uenyekiti wa Kundi la Majadiliano la Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (AGN) itaongoza na kubeba sauti ya pamoja ya vipaumbele vya Bara la Afrika wakati wa Mkutano wa 30 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP30). Katibu Mkuu wa Ofisi…