Tarura yajenga madaraja 400 ya mawe nchini

Dar es Salaam. Ili kuboresha mtandao wa barabara za vijijini na mijini, Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (Tarura) unatumia mbinu mbalimbali, ikiwemo ujenzi wa madaraja ya mawe, ambapo gharama yake ni nafuu, ikiokoa hadi asilimia 80 ya gharama. Kauli hiyo imetolewa leo Alhamisi, Machi 20, 2025, na Mhandisi Mshauri wa Tarura, Phares Ngeleja,…

Read More

Wawili kortini wakidaiwa kusafirisha dawa za kulevya kilo 62

Dar es Salaam. Wafanyabiashara wawili, Quizbat Shirima (38) na Linda Massawe (28) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka mawili likiwemo la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroine zenye uzito wa kilo 62.298. Watuhumiwa hao wote ni wakazi wa Dar es Salaam, Shirima (Kibada-Kigamboni) na Massawe (Kimara Bucha-Ubungo),  wamefikishwa mahakamani hapo…

Read More

SERIKALI KUANZA KUTOA RIPOTI YA KILA MWAKA YA BBT

Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma SERIKALI inatarajia kuanza kutoa ripoti ya kila mwaka ya Mradi wa Jenga iliobora (BBT),ili kuonyesha kilichofanyika kwa wanawake na vijana kwa mwaka mzima katika maeneo mbalimbali kupitia mradi huo. Aidha amesema Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,ataizindua rasmi ripoti hiyo Aprili 27 jijini Dodoma itahusisha mambo mbalimbali kwenye sekta ya kilimo kwa…

Read More

Sababu ya Kibu kugomea mkataba Simba hii hapa

Mwanaspoti linajua kama mambo yataenda yalivyo, wakati wowote Simba inaweza kumpoteza kiungo wao mshambuliaji mpambanaji Kibu Denis Prosper. Ni kama yuko mlangoni kuingia kwa watani wao Yanga. Iko hivi Kibu anamaliza mkataba wake na Simba mwisho wa msimu huu lakini alipoenda mezani kuwasikiliza wekundu hao juu ya ofa yao akagundua kwamba hawajavuka hata nusu ya…

Read More

DKT. BITEKO ATOA SOMO UZALISHAJI, MATUMIZI YA NISHATI AFRIKA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akihutubia Mkutano wa Hydrogen Barani Afrika unaoendelea Mjini Windhoek, Namibia. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa Washiriki wa Mkutano wa Hydrogen Barani Afrika unaoendelea Mjini Windhoek, Namibia. Mkutano huo unakwenda pamoja na maonesho…

Read More

ALAT yapewa mbinu kuleta mabadiliko kwa jamii

Unguja. Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) imetakiwa kujipambanua kwa kutetea masilahi ya umma ili kuleta mabadiliko ya kweli kwenye jamii, jambo ambalo limetajwa kuwa litaifanya iweze kuheshimika. Hayo yameelezwa leo Aprili 24, 2024 na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalumu za SMZ, Masoud Ali Mohammed…

Read More

Kabutali kuanza kampeni wiki ijayo, aahidi kumaliza migogoro ya ardhi Mtumba

Dodoma. Mgombea ubunge wa Jimbo la Mtumba kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Kayumbo Kabutali, ametangaza kuzindua kampeni zake Septemba 25, 2025, akieleza kuwa anakwenda kuchukua jimbo asubuhi, kwani siku zilizobaki kwa ajili ya kampeni zinamtosha. Ametoa kauli hiyo leo Jumatatu, Septemba 15, 2025, alipoulizwa kwa nini hajaanza kampeni wakati pazia lake lilishafunguliwa tangu…

Read More

Twiga Stars ni jasho dakika 90

TIMU ya Taifa ya wanawake ‘Twiga Stars’ kesho itashuka uwanjani ugenini dhidi ya Equatorial Guinea, katika mchezo wa kufuzu kwa fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026 zitakazofanyika Morocco. Huu utakuwa mchezo wa pili baada ya ule wa kwanza Stars ikiwa nyumbani Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, chini ya Kocha Bakari Shime kushinda…

Read More