Dortmund yaanza kampeni ya ligi ya mabingwa kwa ushindi – DW – 19.09.2024
Dortmund, iliyopoteza mechi ya fainali ya michuano hiyo ya Ulaya msimu uliopita mbele ya miamba Real Madrid, ilifunga bao la kwanza kunako dakika ya 76 kabla ya Gittens kufunga bao lake la pili katika dakika ya 86 ya mchezo. Mshambuliaji mpya Serhou Guirassy aliyejiunga na Dortmund akitokea Stuttgart ambapo alifunga mabao 28 katika mechi 28…