Wahitimu 50 kidato cha sita wapenya ‘Samia Scholarship Extended’
Dar es Salaam. Wahitimu 50 wa kidato cha sita wamechaguliwa kupata ufadhili wa masomo nje ya nchi kupitia mpango wa ‘Samia Scholarship Extended’, unaolenga kukuza wataalamu wabobezi katika fani za Sayansi ya Data, Akili Bandia (AI) na Sayansi Shirikishi. Akizungumza Agosti 31, 2025, Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Carolyne Nombo,…