TUJIKINGE NA KIPINDUPINDU KWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA -DKT.VIDA.
Na. Elimu ya Afya. SERIKALI imetoa wito kwa jamii kuendelea kuchukua hatua za kujikinga na magonjwa ya mlipuko ikiwemo Kipindupindu kwa kuzingatia kanuni za afya ikiwemo kutumia maji safi na salama pamoja na vyoo bora. Hayo yamebainishwa leo Julai 9, 2025 Jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Msaidizi wa Sehemu ya Epidemiojia na Udhibiti wa…