Rais Dkt. Samia azindua Rasmi Huduma za Usafiri wa SGR kutoka Dar es Salaam – Morogoro hadi Dodoma, katika eneo la Stesheni Jijini Dar es Salaam

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Rasmi Huduma za Usafiri wa Treni ya Kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam – Morogoro hadi Dodoma, katika eneo la Stesheni Jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Pugu Jijini Dare es Salaam wakati akielekea…

Read More

SERIKALI KUANDAA MIPANGO 2,480 YA MATUMIZI BORA YA ARDHI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 4 ,VIJIJI 4,679 KATI YA VIJIJI 12,333 NCHI NZIMA

 Na Vero Ignatus,Arusha SERIKALI imeandaa jumla ya mipango ya matumizi bora ya ardhi 2,480 katika kipindi cha miaka minne ambapo vijiji 4,679 vimewekwa katika mipango hiyo kati ya vijiji 12,333 nchi nzima.  Hayo yamesemwa leo Juni 23, 2025 Jijini Arusha na Katibu Mkuu  Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi,Mhandisi Anthony Sanga kwa…

Read More

ISW YAONGEZA FURSA MPYA KWA WANAOTAKA KUHUDUMIA JAMII KWA UTAALAMU

NJIA MBADALA ZA KUTATUA MIGOGORO NJE YA MAHAKAMA Akizungumza na mwandishi wa makala haya, Mhadhiri Msaidizi kutoka Chuo cha Ustawi wa Jamii, Idara ya taaluma za kazi,Asteria Mlambo amesema idara hiyo imeanzisha program mpya inayolenga kutatua migogoro kwa kutumia njia yingine tofauti na mahakama (Conflict Management and Alternative Dispute Resolution). Bi. Mlambo alisema program hiyo…

Read More

Rekodi mbili zambeba Clara Saudia

ZIMESALIA mechi mbili kumalizika kwa Ligi ya Wanawake Saudia, lakini Mtanzania pekee, Clara Luvanga anayekipiga (Al Nassr) ameweka rekodi mbili msimu huu akiwa na kikosi hicho. Nyota huyo wa timu ya taifa ya Wanawake, Twiga Stars huu ni msimu wa pili tangu alipojiunga na timu hiyo akitokea Dux Lugrono ya Hispania alipocheza miezi mitatu. Al…

Read More

Bidhaa zapanda, mfumuko wa bei ukibaki palepale

Dar/Mikoani. Kupanda na kushuka kwa bei za baadhi ya bidhaa za vyakula nchini kumetajwa kuchangiwa na kumalizika kwa msimu, athari za mvua na maandalizi ya mfungo wa Ramadhani. Ufuatiliaji uliofanywa na Mwananchi Februari 20, 2025 katika baadhi ya masoko ya mikoa ya Mbeya, Dodoma, Njombe na Dar es Salaam umebaini baadhi ya bidhaa zimepanda bei,…

Read More

Bocco awaaga Simba, mastaa watia neno

BAADA ya kudumu misimu saba ndani ya Simba, nahodha wa timu hiyo, John Bocco amewaaga mashabiki na mastaa wenzake wa timu hiyo kwa kuweka wazi kuwa huu ndiyo mwisho wake wa kuonekana ndani ya kikosi hicho akicheza. Bocco kupitia mtandao wake wa kijamii ameandika: “First and Last thanks Lion” akiwa na maana kwamba ni mwanzo…

Read More

‘Elimu ya historia itolewe kwa ubunifu, teknolojia’

Dodoma. Chama cha Wanahistoria Tanzania (HAT) kimetakiwa kusambaza elimu, utafiti na ubunifu wa kihistoria nchini badala ya kuuacha kwenye makaratasi bila jamii kunufaika nao. Wito huo umetolewa leo Ijumaa Desemba 19, 2025 na Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Shirika la Makumbusho ya Taifa, Revocatus Bugumba kwenye mkutano Mkuu wa chama hicho uliofanyika jijini Dodoma. Bugumba amesema…

Read More

Stars hairudii makosa Dar | Mwanaspoti

TAIFA Stars ina uhakika wa kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza kwenye adhi ya nyumbani (CHAN) 2025, sambamba na Kenya na Uganda, lakini hiyo haiwafanyi wabweteke wakati kesho jioni watakapovaana na Sudan katika mechi ya marudiano ya raundi ya kwanza ya mechi za kuwania fainali hizo. Stars ililala kwa bao…

Read More