Wenye umri mkubwa yamewakuta Umitashumta

KAMA ulidhani ishu ya udanganyifu wa umri ipo katika ngazi ya juu tu ya soka la Tanzania, basi ulikuwa unajidanganya, unaambiwa zaidi ya wachezaji 10 wamerudishwa nyumbani baada ya kubainika kuwa na umri mkubwa katika mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) kwa Mkoa wa Dar es Salaam. Chujio…

Read More

Huu hapa mwarobaini wa talaka za uzeeni

Dar es Salaam. Ndoa ni muungano wa maisha kati ya wanandoa unaotarajiwa kudumu kwa muda mrefu maishani. Ni muungano ambao kimsingi hupaswa kukoma pale mmoja anapofikwa na umauti, Ndio sababu watu wanapofunga ndoa hula kiapo cha kukubali kuishi kwa mazuri na mabaya hadi kifo kiwatenganishe. Hata hivyo, hali haiko hivyo, ongezeko la talaka nchini linatisha. Takwimu…

Read More

TLS yaanza kuwashughulikia mawakili vishoka, hofu yatanda

Dar es Salaam. Kukithiri kwa vitendo vya mawakili ‘vishoka’ kumekiibua Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kutangaza mkakati wa kuwashughulikia kwa kuunda kamati ya kitaifa inayolenga kuimarisha ubora wa huduma za uwakili nchini. Mbali na kamati ya kitaifa, kila mkoa utakuwa na kamati yake kwa ajili ya kushughulikia suala hilo. Kamati hizo za kushughulikia mawakili vishoka…

Read More

SERIKALI: THAMANI YA DHAMANA ZA MIKOPO ZISIZIDI MARA MBILI YA MKOPO

Na. Saidina Msangi, Kisarawe, Pwani. Wananchi wa Kitongoji cha Homboza Wilayani Kisarawe, mkoani Pwani, wametakiwa kuhakikisha kuwa wanachukua mikopo katika taasisi za watoa huduma za fedha waliosajiliwa kisheria huku wakihakikisha kuwa thamani ya dhamana za mikopo wanazoweka zisizidi mara mbili ya mkopo wanaopewa. Wito huo umetolewa na Timu ya Wataalamu kutoka Wizara ya Fedha waliofika…

Read More

Cosota ilivyokabiliana na migogoro 136 ya hakimiliki

Dodoma. Ofisi ya Hakimiliki Tanzania (Cosota) imesema imepokea jumla ya migogoro 136 inayohusiana na masuala ya hakimiliki ambapo migogoro 118 imefanyiwa kazi na kumalizika, migogoro 10 imefikishwa mahakamani huku migogoro minane ikiwa kwenye hatua mbalimbali za utatuzi. Ofisi hiyo imeshiriki kutoa ushahidi kwenye migogoro 10 inayohusu hakimiliki ambayo inaendelea mahakamani mpaka sasa. Hayo yamebainishwa Ijumaa…

Read More