WANANCHI DODOMA WAJITOKEZA KUFANYA USAFI SHULE YA MSINGI MLIMWA KUEPUKA MAGONJWA YA MLIPUKO
Na. Dennis Gondwe, KIWANJA CHA NDEGE WANANCHI wa Mtaa wa Osterbay, Kata ya Kiwanja cha Ndege Halmashauri ya Jiji la Dodoma wamejitokeza kufanya usafi wa mazingira katika eneo la Shule ya Msingi Mlimwa B kwa lengo la kuweka mazingira safi na kuepuka na magonjwa ya mlipuko kwa wanafunzi na jamii kwa ujumla. Kauli hiyo ilitolewa…