
Watawa waliofariki ajalini wazikwa Dar
Dar es Salaam. Watawa wanne waliofariki dunia katika ajali ya gari mkoani Mwanza, wamezikwa leo Septemba 19 jijini Dar es Salaam na jamii imetakiwa kuwakumbuka kwa kuishi vema kwa kuacha alama. Waliofariki dunia katika ajali hiyo iliyotokea Septemba 15, 2025 mkoani Mwanza baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori, ni Lilian…