
BRELA wa tano gawio la Serikali kwa taasisi za umma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan leo tarehe 11 Juni, 2024, amepokea gawio la kiasi cha TZS Bilioni Kumi na Nane Mia Tisa Sabini na Tatu, Millioni Mia Nane Hamsini na Tatu Elfu, Mia Tano Kumi na Nne na Senti Ishirini na Saba tu (18,973,853,514.27) kutoka Wakala wa Usajili wa…